Mafundi/ technicians

Full time @EAST COAST OILS AND FATS LTD in Maintenance and Engineering Email Job

Job Detail

 • Career Level assistant
 • Experience 3 Years
 • Qualifications Certificate
 • Industry Other
 • Manufacturing

Job Description

 • Kuangalia job card,kuchunguza matatizo  na kuyashughulikia.
 • Ketengeneza magari na vifaa vya magari kulingana na mahitaji.
 • Kukagua engini, transmissions n.k na kugundua matatizo.
 • Kukagua matatizo ya gari yaliyoripotiwa na kuyatatua kwa wakati.
 • Kufanya matengenezo ya kina kwenye mifumo ya mitambo na vifaa.
 • Kusafisha na kuweka vilainishi kwenye vifaa vya mitambo.
 • Kutumia vifaa stahiki kwa kila kazi.
 • Kubadilisha/kujaza fluids kwenye vifaa vya engine na mitambo pia kutoa ushauri sahihi kwa watumiaji wa machine na magari jinsi ya kufanya matengenezo sahihi pomoja na njia za kuzuia uharibifu.
 • Kutekeleza majukumu mengine kama utakavyoelekezwa na wakuu wako.
 • Kufanya majaribio ya barabarani kama itahitajika.
 • Kutunza kumbukumbu za kazi na kutoa taarifa.

Required skills

Other jobs you may like